Seo Kyoung-Duk
Mandhari
Seo Kyoung-Duk (alizaliwa 25 Mei 1974) ni mwanaharakati wa kijamii wa Korea Kusini. Seo ni mshauri katika Baraza la Rais kuhusu Chapa ya Taifa, Pia ni profesa katika Chuo Kikuu cha Sungshin na mwanzilishi wa ‘Dokdo School’, taasisi ya elimu yenye mwelekeo thabiti wa kizalendo.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "서경덕 "日 군함도 역사 왜곡" 세계 언론에 보도 요청". Hankook Ilbo (kwa Kikorea). 2020-07-07. Iliwekwa mnamo 2021-04-11.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seo Kyoung-Duk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |