Mutheu

18.6K posts
Opens profile photo
Mutheu
@Ivy_muthue
🥰

Mutheu’s posts

Some men buy you food and drinks, and if they don’t get to touch you, they feel scammed. Poverty runs deep.
Accent ya kikamba nayo haiwezi isha ata ukikunywa maji ya jinjer na ndimu ....kwanya hiyo kusema aiiiiih weeeh😂😂
Kitu isi kudanganye ati utume rafiki yako a test boy wako kama ako loyal ....ata dinywa na hata kuambia
Men with 4 inches during doggy mjue huwa zinapotelea kwa cheeks mnabaki mkicheza na kofia huko mbele 😂
Heri kuambiwa unanuka jasho kuliko kuambiwa unanuka mdomo hii nayo inakuwamilza self esteem kabisaa
Those old days zenye mukoro angepata umeenda kucheza kama umevaa nguo ya kanisa anakulima kama mwizi wa kuku
Baddies sikuizi wananyoa before waingie interview ....sisi ninjas ni kama tutabaki tu kwa site
Her : nipee simu yako nicheze game Me: simu yangu iko na game za gari pekee na gari zote zimeisha mafuta
Wezi ni wajinga sana ati fungua mlango ama ni vunje ..si uvunje mbona unakuwa lazy kwa kazi yako
Ukiskia tu amekuambia we need to talk its either amepata mwingine ama wewe sasa umekuwa mzazi