1
Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.


Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa.... 








Je hii ni sahihi kwa maadili ya Kiafrika...?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Post a Comment Blogger

  1. MASIKINI WANETU
    SERIKALI YETU HAIFATILII VITU VINAVYOTENDEKA WANAFATILIA YAO.
    ANGALIA BLOGS ZA TANZANIA ZIMEJAZA PICHA ZA MATUSI NA HUSIKII YEYOTE ANAKEMEA.
    TUNAENDA WAPI '
    NAHAKIKA HUKO MBELE TANZANIA ISIPOKUWA MACHO ITAKUWA NCHI YENYE LAANA KWANI MAGAZETI YANAWEKA PICHA ZA FUMANIZI
    TUMLILIE NANI ?

    ReplyDelete

[Entertainment][hot][recent][3]

 
Top