NHK WORLD > Ukurasa wa mwanzo wa Idhaa ya Kiswahili

Mapishi ya Kijapani
Tujaribu mapishi ya Kijapani. Hii hapa ni milo ambayo sio kwamba ina ladha nzuri tu, bali pia inawakilisha tamaduni na desturi za Wajapani. Kwa maelezo zaidi, tafadhali bonyeza bango.



Redio Japani na mimi
- Je Redio Japani ina maana gani kwako ? -


Mwaka huu ni maadhimisho ya miaka 75 ya matangazo ya kimataifa ya Redio Japani.
Katika maadhimisho hayo, tulikaribisha kazi mbalimbali za kisanii kama vile, insha, mashairi, michoro n.k. zinazohusiana na Redio Japani kutoka kwa wasikilizaji wetu.
Tumepokea barua nyingi kutoka kwa wasikilizaji wetu. Tunashukuru sana kwa mchango wako!
Baadhi ya barua zinaoneshwa. Tafadhali bofya hapa !


Tingatinga yatinga Japani

Kwa wiki takriban moja hadi Jumatano ya tarehe 8, mwezi Septemba kulikuwa na maonyesho ya sanaa za tingatinga yaliyokuwa yakifanyika katika jiji la Yokohama hapa Japani. Picha za tingatinga ni za kipekee na asili yake hasa ni Tanzania ambako mwasisi wa sanaa hii anatokea.



Radio Japani imezindua tovuti mpya kwa ajili ya 'Chemsha Bongo'. Unaweza kufanya mazoezi ya semi muhimu ya kijapani kwa kushiriki katika chemsha bongo yetu. Ukipata jibu sahihi, kuna ishara itakayojitokeza kwenye skrini.
Kwa maelezo zaidi, bonyeza hapa.

Taarifa ya Habari ya Idhaa ya KiswahiliTunatoa habari ya kisasa ya Japan na Dunia kwa Kiswahili.

Listen

buruta na dondosha kitufe chini kwenye iTunes

Podcast RSS